Dembele kanunuliwa na zaidi ya mia60 Nyingi sana labda 40
Sio kubebana tena[HASHTAG]#EqualGame[/HASHTAG] ndo campaign mpya ya UEFA kwamba kila mmoja atafurahia mpira haijalishi we ni nani, umetokea wapi au jinsi gani unavyocheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu yupo OTmatch day tena...huyu leicester tukimpiga nyingi itakuwa good sana
Sent using Jamii Forums mobile app

tunataka tutengeneza pressure kwa timu nyingine zinazokuja..yan kichapo pale pale....
Na huo uwezekano upo wa yeye kula goli hizo...Leister akifa nne leo timu zote EPL lazima zishtuke na kuanza kutuogopa kabla hata hatujakutana nazo
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Leicester yupo vizuri round hii, vardy sijui mahrez lazima watusumbue
wapi bhana..msimu uliopita na ubovu wetu walikula 4 piaLeicester yupo vizuri round hii, vardy sijui mahrez lazima watusumbue
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye mpira kuna game plan, alafu huwa haipo moja kocha anaamua kwa plan hii nanza na wachezaji flan...ila navohisi kwasbab kuna watu wecheza na kuipa matokeo timu kocha anaweza asibadili sana kikosi.Hivi herrera ni anapumzika kiaina au mfumo haumtaki...?kama anasahaulika hivi...
Unaonaje ukipambana na hali yako mkuu?Sasa nyie MWANITESA YUNAITEDI leo ndo mnaanza Ligi sasa, Ushindi wa leo utatoa mwanga kidogo na wala sio mabonanza mlocheza wiki mbili zilizopiTa
Sent using Jamii Forums mobile app