Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Zile goli zimerudi tukiwa wangapi uwanjani.?

Sawa Mlijitahid Ila Mlizioga Nyingi Mapema Nakumbuka Herrera Alikula Umeme Kwenu Dakika Ya 24 Bila Kante Kuwasaidia Ngoma Ilikuwa Mbich Jose Mourinho Hatar
 
Muliokua mukisema rooney kaisha na nibora zlatan kuliko rooney naona mnaona aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima ukubali kupoteza unachokipenda ili kupata unachokipenda zaidi.

Hili suala halina mjadala hata fergie alishawahi kusema ili uwe kocha bora wakati mwingine hali ya ubinadamu inabidi ikuondoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0f989975d433f15ac85a12f699d27eaa.jpg
cf019ebedd2d09a9085492b9289f32a5.jpg
77cc1197c753ae38f987a0854f395cdf.jpg
14164d7ace9572dc589daed72be0cc83.jpg
91c3a867282a75edd8beca56fddc93cc.jpg
wamerudi
Rojo5
 
Usaili wa Ibra kumnufaisha Lukaku na Manutd kwenye maeneo yafutayo:-

1) Lukaku hataweza kucheza mechi zote hivyo ujio wa Ibra utampa pia nafasi ya kupumzika

2) Lukaku mzuri kwa kutumia nguvu "brute force" lakini kimaarifa "finesse" ana mengi ya kujifunza kutoka kwa Ibra

3) Ibra wakicheza pamoja na Lukaku Mata au Rashford kuathirika kidogo lakini kwa huu utaratibu wa rotation au kupokezana pia nao watanufaika wakipata mapumziko na kukwepa uchovu au "burnout" ambayo huchangia sana kushuka viwango vya wachezaji hasa vijana kama Rashford

4) Ibra ni mchezaji mwenye kutia ari timu na uzoefu wake wa kimataifa ni bonus haswa kwenye locker room
 
Back
Top Bottom