Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hivi kwanini unaona raha sana kuvutana na mashabiki wenzako?yaani wewe asubui mchana jioni usiku mpaka kunakucha tena kazi kubishana na wenzako tu!!
Huyo mwana angekua demu kila siku angekua anapigwa mitungo tu, mambo ya msimu uliopita anayatafutiza hadi leo, huyu ndio alikua katega masikio anaomba tusicheze uefa ili aje aimbe ngonjera zake hapa, alipoona tumejihakikishia kucheza hakuposti mwezi mzima humu.

Rooney alishajifia kitambo sana, Everton ndio saizi yake kwa sasa
 
Cheki reaction ya pogba alipoambiwa na fellain kwamba anaweza kumuweka benchi matic.
e14f25208b138525deb82798c1e2a30d.jpg
 
Huyo mwana angekua demu kila siku angekua anapigwa mitungo tu, mambo ya msimu uliopita anayatafutiza hadi leo, huyu ndio alikua katega masikio anaomba tusicheze uefa ili aje aimbe ngonjera zake hapa, alipoona tumejihakikishia kucheza hakuposti mwezi mzima humu.

Rooney alishajifia kitambo sana, Everton ndio saizi yake kwa sasa
Hata huyo lukaku aling'ara everton ndo tukavutika nae, rooney mwenyew kachukuliwa kutoka everton, wapi niliandika naomba tusifike fainali, mi nilisema hatuwezi kuingia top 4, usinilishe maneno mjomba
 
Hata huyo lukaku aling'ara everton ndo tukavutika nae, rooney mwenyew kachukuliwa kutoka everton, wapi niliandika naomba tusifike fainali, mi nilisema hatuwezi kuingia top 4, usinilishe maneno mjomba
Tatizo lako unapenda kufukunyua mambo yaliyopita zamani, mwana mliekua mnabishana nae ye yalishaisha kitambo ila wewe unakumbuka hadi leo,

Slippy Gerald, you served football.
 
Kuhusu YOUNG na SHAW kurudi/Kupona..: Ningependa kuona shaw anaperform vizur na asisumbuliwe na injuries ili awe na uhakika wa namba kwny 1st squad..kuhusu ASHLEY YOUNG..Binafsi sioni km ana nafasi kubwa kikosini,labda inategemea na yy atakavyoperform ila personally simwoni kbs cuz kuna watoto wamoto(kina ANDREAS PEREIRA) wanatafuta nafasi wacheze namba yoyote tu
GGMU!!!! GGMU!!! GGMU!!!!

Ugiligili
 
Back
Top Bottom