kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,350
IBRA anarudi kuharibu pace ya timu tu! Na tusipoangalia atatuletea shida dressing room manake sidhani kama atakubali kukaa benchi sana.Target ya Mou On season ni kuchukua makombe yote F. A,EPL na UEUFA kuvunja rekodi ya Sir Alex ya 99, lakini kubwa zaidi kushinda EPL kwa point zaidi ya 95 ili kuvunja rekodi yake aliyoiweka Chelsea katika msimu wa 2003/4 kwa kufungwa Match 1 moja tu.
So now hataki kuona tukitoa draw kizembe au kufungwa na timu ndogo.
Sioni tukisajili mchezaji mwingine zaidi ya Ibramohovic tutalazimika kusajili January Winger na mapungufu yatakayojitokeza but for now kocha yupo happy na Squad aliyonayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app