Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,927
- 27,166
Usitufananishe sisi na Arsenal bhana. But anyeays hayo ni maoni yakoKwann unajichosha kumjibu shabiki wa asinoo au Chelsea? Mashabiki wa asinoo akili zao zipo kwa Wenger wanaendeshwa kama maroboti bila remote control hayaendi.
Mashabiki wa chelsea ni sawa na kubwa jinga linaloishi kwa dada ake, kila kitu anaamua shemeji. (Abrohmovic) hapo hata umuambie dada ako usiku anaumia ili wewe ule hawezi kukuelewa.
Yes am cunt, next question?
Cute upo.? Umepotea genge letu kule
Imagine comparing timu yenye makombe 27 na ile yenye makombe 44, si utakua uchizi huoUsitufananishe sisi na Arsenal bhana. But anyeays hayo ni maoni yako
Nipo na safari za hapa na pale sijatulia kabisa.Cute upo.? Umepotea genge letu kule
Uchizi ni kutoka nje ya kile ninacho kupinga na kuanza kushindanisha makombe. Ingekua makombe Liverpool UEFA anayo mangapi na wewe unayo mangapi.? Lkn ukienda kwenye rank za UEFA cjui yuko nafasi ya ngapi.? <30Imagine comparing timu yenye makombe 27 na ile yenye makombe 44, si utakua uchizi huo
Yes am cunt, next question?
Hahaaa.. Pole na majukumu. Mi naimba urudi tumemiss vijembe vyakoNipo na safari za hapa na pale sijatulia kabisa.
Genge lenu nitakuja mpaka mkome kusema sina timuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante pasm .Hahaaa.. Pole na majukumu. Mi naimba urudi tumemiss vijembe vyako
Nimecheka sanaHabari za asubuhi.
Napenda kuwakumbusha tu kuwa Erick Bailly msimu huu ana magoli sawa na Alvaro Morata hadi hivi sasa.
Muwe na siku njema.
Kumbe kuna sehemu ulinipinga? Point ipi uliyoipinga?Uchizi ni kutoka nje ya kile ninacho kupinga na kuanza kushindanisha makombe. Ingekua makombe Liverpool UEFA anayo mangapi na wewe unayo mangapi.? Lkn ukienda kwenye rank za UEFA cjui yuko nafasi ya ngapi.? <30
Mkuu siku za mpira tuwe wote hapa unajua tuna miss updates zako daaaaaZa masiku
Sawa mechi ya wiki ijayo nitaweka updates na LeicesterMkuu siku za mpira tuwe wote hapa unajua tuna miss updates zako daaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
pole mkuu, ila wapambe wa namna hii uwa awakosekani kwenye jamii. ni wa kuwapuuza tu.Sawa mechi ya wiki ijayo nitaweka updates na Leicester
Niliacha baada ya wapambe kudai hawazihitaji wanaangalia live streaming