Ferrenga
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 942
- 1,659
habari ndiyo hiyo, wanapewa 4 zao basiLeicester City wanafata 4g yao Jmosi pale OT.
Dogo anachelewa kupevuka huyu.Tungeweza kupumzika na mbili Rashford badala ya kupasia nyavu kampasia kipa.
majirani hawaamini , hata kuchungulia hawachungulii.Majirani hawaji kwenye sherehe yetu au mgonjwa wao huko mahututi wanauguza![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
nina wasiwasi rashford anapofika golini anaangalia chini ndio maana anakosa sana
Rashford ni mzuri kwa kusumbua mabeki na kuwachosha ila weaknes yake kubwa decision ya harakarashford naona kama anakuwa overated sana..martial ni mtulivu sana anapopata chansi..so ni best kuliko rashford..so far amecheza dakika hata 30 hazifiki mechi mbili ila kafanya kweli..
Sent using Jamii Forums mobile app
Majirani hawaji kwenye sherehe yetu au mgonjwa wao huko mahututi wanauguza![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app

















































3 goal in 4 minutes...80th Min: Swansea 0-2 Man Utd️
82nd Min: Swansea 0-3 Man Utd️
84th Min: Swansea 0-4 Man Utd️


Sijui nihame Barcelona nije Man u? Kwenye raha ndo huwa nakaa. Man u mwaka huu raha zitawaua..lol!
I'm thinking loud tu!
Sent using Jamii Forums mobile app