Kitu mkongo wa TaifaSema 4g
HakikaWale wanaomchukia Pogba anazidi kuwanyamazisha tu![]()
ni mwendo wa 4G tuSema 4g
Agiza balimi popote ulipo nakuja kulipaMou naona ameanza ule mpango wake alioutumia mechi iliyopita, Man U wamepaki basi katikati ya uwanja pale kwenye circle ya center ndio Jones kasimama, naona zile nne zinanukia tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
yani ni fire fire tu, Mou ni shida.