Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

90ccf8eb525771e3378e9688e90d3ab0.jpg
 
Wamecheza vizuri sana kipind cha pili baada ya swansea kuchange mfumo , maana mfumo wa mabeki watano pale nyuma ulikuwa mwiba kwa manchester , kilichowacost nikuchange mfumo. Kocha wa Swansea atakuwa anajilaumu sana huko aliko
Anyway Glory glory to MUFC. Mwanzo mzuri tena unaoburudisha haswaaa.
 
Back
Top Bottom