Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Hatareeee mkuuu
Hatareeee mkuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nsha chukua maji makubwa ya kili baridiiii
Ni utani ...acheni masihara jamani, ni kweli ama???
woyoooooo
hahahahaha, hatusemi tena tumefunga mdomo.Halafu nisisikie mnamsema fellain tena humu ndani! [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hakuna mwenye ngozi nyeupe hata mmoja aliyefunga mpaka sasa.Ni utani ...
Ila wale waliofunga magoli last week
Karibia wote wamefunga leo tena..
Nadhani umeelewa sasa
Mkuu niliwahi mponda Felaini humu, ila kuanzia nimefuta kauli [emoji3] [emoji3] [emoji3]Halafu nisisikie mnamsema fellain tena humu ndani! [emoji3] [emoji3] [emoji3]
unajua siamini sababu nilikuwa nawaza kuwa tuongeze la pili ili roho itulie, asa nakuja kuchek nakuta 4 kabisa. nikahisi labda naota.Ni utani ...
Ila wale waliofunga magoli last week
Karibia wote wamefunga leo tena..
Nadhani umeelewa sasa
Nafikiria mahali pa kwenda kumaliza furaha sipaoni [emoji23] [emoji23]FT: Swansea 0 - Man United 4