Mkuu una akili sana...Fellaini ni habari nyingine. Kiungo,Forward&Beki zote hizi anazicheza kwa wakati mmoja. Utamuona kule mbele anapambana kupiga mpira kicjwa afunge, muda huo huo utamuona anapiga kichwa kuokoa mpira golini kwake. Ni hazina kubwa kwa United hii.