Wewe unafata nn huku kwa Man U kama huji kujilinganishaKwanini Chelsea ikifungwa mnafurahi sana ..kuliko timu zingine zikifungwa? Why Chelsea?
Mnapenda kujilinganisha mnoo na Chelsea, matic tumewapa, kocha tumewapa, mata tuliwapa.. mnataka nin tena!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewapa weww na nani Chelsea time ndogo ilipewa kipigo cha 7-0 na nothamforest pambana na hali yako wewKwanini Chelsea ikifungwa mnafurahi sana ..kuliko timu zingine zikifungwa? Why Chelsea?
Mnapenda kujilinganisha mnoo na Chelsea, matic tumewapa, kocha tumewapa, mata tuliwapa.. mnataka nin tena!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa EPL nakubaliana nawe..Ila UCL bado u need at least 2 more years.Game ya Madrid ilikua kipimo kizuri zaidi ya west ham.
Ndugu zetu wana garasa pale wamepotea.Morata aliingia dakika ya 60+ akafunga goli Moja na assist Moja
Martial aliingia dakika ya 80+ akafunga goli Moja na assist Moja.
Question of the day
Ingekuwaje kama martial angeingia dakika ya 60+?
Morata was tz nchi imekushinda😀
Kabisa ninjaNdugu zetu wana garasa pale wamepotea.
Burnley ni kibonde na alinusurika kushuka daraja msimu uliopita alishika nafasi ya 16 while WestHam alishika nafasi ya 11Burnley siyo kibonde kwa sababu hakuna timu ya top 4 iliyo mpiga nje ndani msimu uliopita. Hakuna. Utamuitaje kibonde? Tofauti na West ham jamvi la wageni.
Kama Mourinho angekuwa hawataki angekuwa ameshawauza,Inter/ROMA walimtaka Martial kwa mkopo Mourinho akagoma juzi Spurs wameleta official bid Mourinho amegoma kumuuza now Martial anatakiwa acheze mpira na ku-mprove wrong MourinhoGlory glory glory Manchester united
Martial, matic, Herrera, mikytarian,mata,baily, Valencia
Hawa wachezaji hawatakiw kuanzia benchi
Mourinyo aache misimamo yake ya kuwa na chuki kwa wachezaji hasa kwa mata na martial
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Tunataka nini tena?Kwanini Chelsea ikifungwa mnafurahi sana ..kuliko timu zingine zikifungwa? Why Chelsea?
Mnapenda kujilinganisha mnoo na Chelsea, matic tumewapa, kocha tumewapa, mata tuliwapa.. mnataka nin tena!
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo Nimecheka sana, naona mashabiki wa MWANITESA YUNAITEDI mmeshajitabilia kuchukua UEFA kabisa.....jaman msidanganyike na kamechi kamoja tena kakibonde West Ham
Sent using Jamii Forums mobile app
Kushinda mtashinda tu,Hahaha tutashinda tu
Kwanini Chelsea ikifungwa mnafurahi sana ..kuliko timu zingine zikifungwa? Why Chelsea?
Mnapenda kujilinganisha mnoo na Chelsea, matic tumewapa, kocha tumewapa, mata tuliwapa.. mnataka nin tena!
Sent using Jamii Forums mobile app