Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ila Mou sijui anamkazania nini Felaini, Angemuacha tu asepe maana hadi zile tetesi za kuondoka naona zimezima kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Humjui Fellaini kijana ndomaana unasema hayo yote. Yule ni bonge la mchezaji. Kapita kwa Van Gaal mbona hukuskia anataka kumuuza. Kama kuna mchezaji alibaki mikononi mwa Van Gaal pale United basi jua anaujua mpira.
 
Ila Mou sijui anamkazania nini Felaini, Angemuacha tu asepe maana hadi zile tetesi za kuondoka naona zimezima kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahau kuhusu fellaini kukosa namba mkuu...

Fellaini ni Ball destroyer kwa Taarifa yako.

Na mourihno anapenda sana viungo wanaokaba na kuharibu mipira ya wapinzani..

Sasa Matic, Herrera na Fellaini ni viungo wa staili hiyo...na mou hawezi kuwauza hata kidogo.
 
Leo Nimecheka sana, naona mashabiki wa MWANITESA YUNAITEDI mmeshajitabilia kuchukua UEFA kabisa.....jaman msidanganyike na kamechi kamoja tena kakibonde West Ham

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukibonde Huja Pale Watarajio Yenu Yanapofeli Hapo Unajipoza Machungu Tu Umeweka Na Ka Uefa Kunywa Panadol Kupoza Maumivu Hutak Chomoeni Goli 4

Chelsea Kapigwa Sijaona Walipoandikwa Kibonde Amfunga Chelsea Au Man City Kamfunga Kibonde Haterz Bana.
 

Nafikiri Leo Umeyapata Majibu Baada Ya Fellain Kuingia Pogba Kasogea Mbele Zaidi Mtamuelewa Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…