Nimewaacha walie wenyeweHahahahahahahahaha kama wanaleta kibur mpaka kwenye kupewa pole achana nao Dada angu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewaacha walie wenyeweHahahahahahahahaha kama wanaleta kibur mpaka kwenye kupewa pole achana nao Dada angu
Hiyo ni leo tu mkuu mwanzo wa league kabisa huu
Sijamsikiliza, kasemaje?
Jamaa kasema tuu kama mdau mmoja hapo juu kuwa alisainiwa ili kuja kufanya mambo kama ya kina Scholes bt hajatimiza matarajio ya mashabiki. Akaongeza kuwa mtu kama scholes hakuwa selfish. Alikuwa mwepesi katika utoaji wa pass. Japo ni usajiri mzuri anatakiwa abadilike.
Hi guys wishing you all the best of lucky.
Any live streaming idea ??
Come on West Ham make the weekend great again. Piga hawa gamutuz
Karibu tena jukwaani mkuu,ulipotea sanaHuyu Zabaleta umri umekimbia anatakiwa kukimbizwa vya kutosha
Struggling, nisaidie link mkuuCricfree wana channel nyingi sana, usisaini kitu chochote, ignore vitu vyote. Utaona kila sports events in the world. Bonyeza x on adverts.
Cricfree | Cricfree.org | Cricfree.tv
Football - Cricfree
Karibu tena jukwaani mkuu,ulipotea sana