Pamoja na kuwa West Ham wamefanya mabadiliko mazuri katika kikosi chao ila kesho tunachowaza ni ushindi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa mkuu umekuja kupunguza machungu
Muache tu mkuu apungunze maumivuSi niliwaambia, yupo huku kakimbia kwake kunawaka moto. Acha ushabiki uchwara, rudi kasaidiane na wenzako kuomboleza wewe.



Hali ni tete wanapumulia mashineInashangazisha mabingwa watetezi game ya kwanza Darajani mpaka halftime kashakali misumari 3 ya inchi sita
Sent from myself
Hakika nawaambia mbele ya wagonga nyundo hamtatoka salama....Si niliwaambia, yupo huku kakimbia kwake kunawaka moto. Acha ushabiki uchwara, rudi kasaidiane na wenzako kuomboleza wewe.
Mkuu kesho hamtokii salamaa..Umekimbia miguu ya bajaj![]()
Labda mshinde njaa ..kesho west ham hatakuacha salama..Pamoja na kuwa West Ham wamefanya mabadiliko mazuri katika kikosi chao ila kesho tunachowaza ni ushindi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wanalia kule hatari.
Dahhh ngoja tuivumilie ivo ivo coz hata mimi mara inakata mara inatulia....na ikikata inaondoa kabisa channel unayoangaliaHii inastuck zaidi ha mobdro
Sent From My Nokia Ya Tochi
mkuu saidia kidogo....hyo LiveNet app mbn kwangu ukiwa unaangalia channel yoyote inakupa link kama 3 hv afu ukichagua link na kuanza kuangalia hyo chanel inakaa kidogo tu afu inakata.....hata kwako ni ivo?Jamani jirani yetu moto unawaka
Wapi harmorata