Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

nipo aiseee, kwasas sionekani sana ila nipo ligi ikianza ndiyo nitakuwepo zaidi. afadhali cute b karudi mana nae akifichwa anafichwa haswaaa.

mrembo mwingine shabiki damu wa Man Utd nae kapotea, sijui anamsaidia Mou kwenye mambo ya usajili.
everlenk yupo bize ila ligi zikianza atakuja tuu mbona.
Dear Mimi nipo hapa najiandaa kucheza Singeli maana vigodoro vimepitwa na wakati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6a40cb09f90a8dbfaa57f283135215ca.jpg
 
Hapana kijana. Martial ni mtu mzima tena sana tuu kwenye soka. Katoka Monaco na goal kama 18 hivi. Kaja Man U akiwa bado hajazoea ligi kapga magoli kama 18 tena. Msimu ulioisha japohakuwa chaguo sana kapiga 4. Martial huwa haogopi beki ni kama Rashford tuu. Anavocheza ni kama De Lima anaifata beki ilipo. Anageuza kwa namna yoyote. Perisic umri mkubwa hafu chenga yake moja. Martial akipewa game mfululizo lazima akuue tuu. Ni kama Rashford on target 3 goal 1. Yaan pale hatutakiwi kutafta winger ingine. Wako wengi sana. Martial na Rashford big match zote pale EPL waliuua. Lingard yuko pale. Ndomaana Mou kaamua kulizika na usajili wa watatu kwanza. Martial uku Rashford kule Lukaku uko Miki/Mata hapo waraiiiiiii ni ushindii tuuu.
Wenzako wana ronaldo na bale wewe una rashfold?mkuu perisic ni muhimu sana pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu mchezaji kaniuma sana kuondoka darajani. katika most blunder ambao uongozi wetu umefanya ni kumuuza huyu mtu tena kwa mpinzani wako.
ni sawa na umeenda vitani then unamuuzia silaha adui unayepambana nae tena silaha uitegemeayo.

kupata vichekesho kama hivo tuma neno neymar kwenda manU.
 
Pole sana mkuu. Nimekutana na mwenzako mmoja anasema huyu sio mchezaji...
 
Back
Top Bottom