Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naomba Mungu huyo siku tushinde maana everlenk alichofanya kwa majirani sijui.
Usilale dear nitakuamshaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaha dear sina wasiwasi Man United wananipatia Vitatu tu bila.

Nilikuwa nafatilia hapa historian katika Mara 7 tulizokutana nao walishinda Mara mbili wakati sisi Mara 3 hizo zingine draw Mara mbili.

Please give me vitatu tu, namba 3 ni muhimu sana kwangu siku ya leo pleaseeeeeeee .....funga vyovyote vile ila nikitoa au nikigawanya nipate 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manchester United squad vs Real Madrid

David de Gea

Joel Pereira

Sergio Romero

Antonio Valencia

Chris Smalling

Daley Blind

Matteo Darmian

Axel Tuanzebe

Victor Lindelof

Michael Carrick

Juan Mata

Ander Herrera

Scott McTominay

Jesse Lingard

Paul Pogba

Marouane Fellaini

Nemanja Matic

Henrikh Mkhitaryan

Andreas Pereira

Marcus Rashford

Anthony Martial

Romelu Lukaku
 
e0efc0561d03cbb82cc7195fffa1b668.jpg

FT
Real 1- 2 Man U
Good luck ...
GGMU..

Sent using Jamii Forums mobile app
Usinipunguzie mwendo tafadhali nahitaji tatu bila au hapo fanya nne moja pleaseeeeee
 
Man United target Fabinho storms out of Monaco training

By Ben Green
on Tuesday, August 8, 2017
Do Manchester United want Fabinho?
Throughout the summer, Manchester United fans have been yearning for their club to sign Fabinho from Monaco.

Fabinho was one of the stars of the Monaco side that won Ligue 1 last season and reached the Champions League semi-finals.

The Monaco man looks a good fit for Manchester United since he can play right back or in the middle of the park.
 
Hahahhaha dear sina wasiwasi Man United wananipatia Vitatu tu bila.

Nilikuwa nafatilia hapa historian katika Mara 7 tulizokutana nao walishinda Mara mbili wakati sisi Mara 3 hizo zingine draw Mara mbili.

Please give me vitatu tu, namba 3 ni muhimu sana kwangu siku ya leo pleaseeeeeeee .....funga vyovyote vile ila nikitoa au nikigawanya nipate 3

Sent using Jamii Forums mobile app

3
 
Did Nemanja Matic deal kill Fabinho to Man United?
Nemanja Matic’s arrival at Manchester United appeared to kill off any chance Fabinho would join the Red Devils.

However, in recent days the rumours have emerged again regarding Fabinho.

With United in the market for PSG right back Serge Aurier, many feel they could do a lot better by signing the Monaco utility man.

PSG have also been interested in signing Fabinho this summer but widespread reports in France claimed Monaco would not sell to a direct rival.
 
Man United target Fabinho storms out of Monaco training

By Ben Green
on Tuesday, August 8, 2017
Do Manchester United want Fabinho?
Throughout the summer, Manchester United fans have been yearning for their club to sign Fabinho from Monaco.

Fabinho was one of the stars of the Monaco side that won Ligue 1 last season and reached the Champions League semi-finals.

The Monaco man looks a good fit for Manchester United since he can play right back or in the middle of the park.
Kwa sasa sizani kama ataweza chukuliwa tena mkuu!!

Au aje acheze namba mbili!!
 
My twin everlenk huko ulipo zidisha maombiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaha yaani ninavunja vunja hapa balaa ngumi mateke na kuchinja chija yaani hapa ni mwendo wa majeshi majeshiiiiiiiiii!!!! ...... Watashindanaaaaaa lakini hawatashindaaaaaaaaa!!!!

Unajua nini twin kabla ya kupigana na hili ligoliath lililo mbele yangu nikawa nakumbuka zile nyakati napigana na wale dubu na simba wa past years ahhhhhh!!!nilishinda bana kuna mechi hapa naiangalia tuliwapigaga vinne kwa kimoja hahhahahhaah aiseeeeee ligoliath la Leo lazima niwarushie wahispaniola wenzake walitundike juu ya mti Hahahhaha hahahhahaha!!!!!!!!!

GLORY GLORY MANCHESTER UNITED

#Newgloryiscomingup#
 
Hahahhaha dear sina wasiwasi Man United wananipatia Vitatu tu bila.

Nilikuwa nafatilia hapa historian katika Mara 7 tulizokutana nao walishinda Mara mbili wakati sisi Mara 3 hizo zingine draw Mara mbili.

Please give me vitatu tu, namba 3 ni muhimu sana kwangu siku ya leo pleaseeeeeeee .....funga vyovyote vile ila nikitoa au nikigawanya nipate 3

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuamini kwa maombi mami.
Naona Majirani wameshaweka kambi . wa nadhani kuna vinywaji vya bure huku.
Ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom