Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,804
Kama sio kuwa majeruhi, Bale ni bora zaidi kuliko Perisic. He is quick, fast and strong compare to Perisic. Perisic ni mzuri zaidi ya Bale kwenye dribbling but huwa naona kama yuko nyoro nyoro.
hao wote ni bora tuwakaushie..tuna mikhi na martialKama sio kuwa majeruhi, Bale ni bora zaidi kuliko Perisic. He is quick, fast and strong compare to Perisic. Perisic ni mzuri zaidi ya Bale kwenye dribbling but huwa naona kama yuko nyoro nyoro.
Haya yote anayajua morinho, tumuachie hiyo kazi!!
hao wote ni bora tuwakaushie..tuna mikhi na martial
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
kikosi mpaka hapa kilipo tayar ni kipana..fergie mwenyewe alikuwa na watu wa kawaida tu kama tulionao saivi..2013 under van persie,cleverley,rooney,hernandez mbona tulinyanyua ndoo!!Mkuu nafikiri kama tunaweza kuwasajili tuwachukue maana kama utakuwa uligundua msimu uliopita ni kuwa kikosi chetu depth yake ni ndogo sana na ndio maana tulikuwa na injury nyingi which is most of them ni kwasababu ya fatigue. Lazima tuwe na wachezaji wazuri wa akiba pia. Kumbuka kipindi cha Fergie, unatoa moto unaweka fire.
kikosi mpaka hapa kilipo tayar ni kipana..fergie mwenyewe alikuwa na watu wa kawaida tu kama tulionao saivi..2013 under van persie,cleverley,rooney,hernandez mbona tulinyanyua ndoo!!
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
ndo hivo ishu ni team ipigane kweli kweli..na mou aache bifu na baadhi ya wachezaji..Ni kweli mkuu, isipokuwa umesahau kitu kimoja, Fergie hakuwa mtu wa sport sport.
Poa mkuu, umekula msuli wa anatomyWakuu samahanini nimekosea kutuma picha..nimejichanganya kwenye gallery..
Sent using Jamii Forums mobile app
I bet ww ni daktari hahahahahahahPoa mkuu, umekula msuli wa anatomy![]()
![]()
I bet ww ni daktari hahahahahahah



ndo hivo ishu ni team ipigane kweli kweli..na mou aache bifu na baadhi ya wachezaji..
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Leo hapana ubwabwa hapa. Utakoma.tehe tehe na leo utatafta pa kutokea maana juzi ulikuja kucheza singeli nyumbani kwangu kwa fujo zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sio kuwa majeruhi, Bale ni bora zaidi kuliko Perisic. He is quick, fast and strong compare to Perisic. Perisic ni mzuri zaidi ya Bale kwenye dribbling but huwa naona kama yuko nyoro nyoro.
Atusikilize na sisi mashabiki,hivi mkuu unajua kikosi cha mashabiki huwa hakifungwi? Sema huwa kinapangwa mpira ukishaisha tu.Haya yote anayajua morinho, tumuachie hiyo kazi!!
Binafsi sioni umuhimu wa kusajili winga kwa sasa!!