McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Uyo CR7 anaenda kama sanamu la maonyesho tu hawezi kucheza anaenda kuipamba fainali.
Nauliza nani amenuna...nani amenunaaa????.Kwa mziki huu wa man utd na ukilinganisha na Mpira wa Jana wa arsenal na Chelsea hakuna wa kupambana na sisi
Huu ni msimu wa revenge... Pogba+Herrera+Matic= Utatu mtakatifuuuuView attachment 560406
Katahamia kwa majirani tuKale kaugonjwa ka msimu uliopita mara presha ina panda mara ina shuka sijui kesho katajirudia![]()
Sent from myself
Ni jambo zuri sana kwa kujitokeza matajiri wanaovutiwa na klabu ya manchester united,ila ni vizuri zaidi kwa hao matajiri kufanya uwekezaji wao wakiwa na fedha mkononi na si kukopa benki na wakaiweka klàbu ikiwa na madeni kama walivyofanya familia ya glazer.Pia wawekezaji wafahamu kama manchester united ni zaidi ya KINGDOM kwa sababu ina tamaduni zake za uendeshaji wa klabu hivyo basi hawapaswi kuzitelekeza.kwenye issue ya uwekezaji ningelifurahi zaidi kama FA wangeliweka sheria ya 51% to 49% kati ya muwekezaji na wadau wa klabu hii ingelisaidia sana kuondoa migogoro kati ya wawekezaji na mashabiki katika uwendeshaji wa klabu.Kuna mwekezaji bilionea wa kichina anataka kuinunua Manutd
hii habari ni nzuri sanaFrank De Boer (Crystal Palace manager) plans to make the Fosu Mensah a first-team regular at Selhurst Park.
Teh teh teh. Kweli atabanwa mbavuUyo CR7 anaenda kama sanamu la maonyesho tu hawezi kucheza anaenda kuipamba fainali.
Mimi zee siyo kijana Jaribu all football app.Kijanaa hii ni app gan?!?