Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Natoa pongezi kwa wanazi wote wa Manchester united kwa kuuvamia na kuusasambua Uzi wa Chelsea .... Hawatasahau Yale mashambulizi ya Jana kutoka kwa Kamarada Enock Mwigane (everlink) na Mwalimu Gashasha (Sister)


Naomba team hii ipewe ulinzi wa kutosha , Mwenye namba ya Simon Sirro anipatie ili tuombe ulinzi si kwa kuuvamia Uzi wa Chelsea namna ile

Sent From My Nokia Ya Tochi
Wozaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tapatalk_1502100376315.png
 
Kesho garasa matic litakuwa na wakati mgumu sana ..jitu zito kama lukaku ndo kabisaa litapoteana.

Kesho ndo itadhibitika kuwa kikosi cha man u hakitakuwa na ushindani wowote wa kutisha kwenye michuano ya UEFA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lukakuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu


Tunajaribu

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Merson mpuuzi kweli eti anasema tutamaliza ligi tukiwa wa 4

Mkuu na wewe huwa unamsikiliza yule jamaa? Merson haipendi tu Man Utd na kama utabiri wake ndo ungekuwa unatokea kweli basi leo hii Man Utd huenda angekuwa huko championship.

Kumbuka alitutabiria kupigwa 2 kavu na Ajax ile fainali Europa, alitutabiria kuwa tungepigwa na Chelsea ile mechi ya old traford. Ukiona katutabiria tunashinda basi jua tunacheza na Burnely and the likes.

Mpuuze Merson kama tunavyompuuza Ollachuga Oc
 
Back
Top Bottom