Kawaida yenu kujifarijiWewe shikilia kauli yako. Nakupa miezi 6 utakuja kujiprove wrong mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida yenu kujifarijiWewe shikilia kauli yako. Nakupa miezi 6 utakuja kujiprove wrong mwenyewe.
Usijisumbue na hayo mambo
Hahaaaaa miezi sita si ligue itakuwa inaenda kuisha ..???Wewe shikilia kauli yako. Nakupa miezi 6 utakuja kujiprove wrong mwenyewe.

Kwa sasa naweza kusema ndicho kilicho baki. Ila nawapa miezi 6.
Ndio mtaelewa sasaHahaaaaa miezi sita si ligue itakuwa inaenda kuisha ..???![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Utakuwa upande upi?Kwema kabisa yaah panapo majaaliwa j4
Hahahahaaa kula like mkuu!!Ligi likizo nami likizo nikaenda kuvuna milikes huoni ilivyopaa
nakumbuka walitupatia wachezaji buree after munich disasterWatu wanavyokuza bifu inashangaza sana.hivi man u imewahi nunua mchezaji toka Madrid?
Hapa hapa ndio nyumbani hapa sijui weye?Utakuwa upande upi?
Tutakuwa wote siku hiyo. Ntakuwa na roga los blancos.Hapa hapa ndio nyumbani hapa sijui weye?
Ligi likizo nami likizo nikaenda kuvuna milikes huoni ilivyopaa
Hata mimi nimekuwa nikijiuliza sana morata ataiweza kweli EPl?? kwa beki kama lile la arsenal lilioingia kama sub ya majeruhi ya arsenal jitu limevimba kama gunia la viazi vya lushoto
acha kabisa..ila lukaku tumepatia kwa sababu yupo tough na pia anaijua ligi ya england..huyu morata ngoja tumwone..ila nashukuru hatukumnasa asingebadilisha sana pale mbele...Hata mimi nimekuwa nikijiuliza sana morata ataiweza kweli EPl?? kwa beki kama lile la arsenal lilioingia kama sub ya majeruhi ya arsenal jitu limevimba kama gunia la viazi vya lushoto
Sent from myself
Lukaku ndiyo usajili sahihi ukilinganisha na morata, kwanza ana uzoefu wa kutosha na EPL na ana mwili wenye kusumbua mabeki, isitoshe tunahutaji trophies hivyo sikuona sababu ya kumtafuta straiker ambae atataka kuchukuwa muda kuizoea ligi though ni kwa wachache wenye kuweza kuadopt.acha kabisa..ila lukaku tumepatia kwa sababu yupo tough na pia anaijua ligi ya england..huyu morata ngoja tumwone..ila nashukuru hatukumnasa asingebadilisha sana pale mbele...
Sent using Jamii Forums mobile app
Malipo mengine ni hapa hapa EPL sio mpaka ECLacha kabisa..ila lukaku tumepatia kwa sababu yupo tough na pia anaijua ligi ya england..huyu morata ngoja tumwone..ila nashukuru hatukumnasa asingebadilisha sana pale mbele...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa hujafa hujaumbika siyo????Malipo mengine ni hapa hapa EPL sio mpaka ECL