Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Ni namba ndiyo imemkimbiza baada ya kiwango kushukaHuyu jamaa kajishusha sana kuhama untd
young kilimanjaro
Ni namba ndiyo imemkimbiza baada ya kiwango kushukaHuyu jamaa kajishusha sana kuhama untd
young kilimanjaro
Hyo kweli na umri nao unamtupa mkono.Ni namba ndiyo imemkimbiza baada ya kiwango kushuka
Asante kwa taarifa mkuuWadau kwema....Jnne SAA Tatu na dakika arobaini na tano (21:45) ucku SUPPER CUP.
Kwema kabisa yaah panapo majaaliwa j4Wadau kwema....Jnne SAA Tatu na dakika arobaini na tano (21:45) ucku SUPPER CUP.
jezi original ikiwa huko ulaya ni around 110,000 ikija huku kwetu andaa 150,000 kwenda mbeleHivi wakuu hakuna mwenzetu humu analiye na duka la kuuza Jersey na sikafu za timu yetu pendwa kwa dar au hata mikoani ili tuungane mkono kwa kumchangia NB ziwe original mm nahitaji nipo DSM au mwenyw kujua maana mwaka Jana nilinunua chata yake ishabaduka
Kuna limoja lipo maeneo ya sinza karibia na VUNJA BEI shop.Hivi wakuu hakuna mwenzetu humu analiye na duka la kuuza Jersey na sikafu za timu yetu pendwa kwa dar au hata mikoani ili tuungane mkono kwa kumchangia NB ziwe original mm nahitaji nipo DSM au mwenyw kujua maana mwaka Jana nilinunua chata yake ishabaduka


Hivi wakuu hakuna mwenzetu humu analiye na duka la kuuza Jersey na sikafu za timu yetu pendwa kwa dar au hata mikoani ili tuungane mkono kwa kumchangia NB ziwe original mm nahitaji nipo DSM au mwenyw kujua maana mwaka Jana nilinunua chata yake ishabaduka
Sasa nimemuelewa Perez![]()
. Hata mimi aiseepata pesa ya ku bet bure dollar 25 free kwa kufata hii link na u sign up BlackOption - binary options without investments!
Usijisumbue na hayo mamboHyo hela unatoaje




Wewe shikilia kauli yako. Nakupa miezi 6 utakuja kujiprove wrong mwenyewe.Afadhali hatukumchukua morata aseee bado sanaaa anamkosi sana wa magoli![]()