DE FULE
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 1,213
- 714
August 31Hivi dirisha la usjiri linafungwa lini?
August 31Hivi dirisha la usjiri linafungwa lini?
Ha ha haha.hahahaha hiyo sengeli najua itakuwa wimbo wa mwanaume machine, mana madogo sasa hivi wanakimbiza utadhani wamefunga machine miguuni.
bia zangu umekunywa.

Kabisa. Ha ha ha haunatafuta chimbo zuri unaangalia game na uku ukishushia wine kidogo.
Hata mashabiki wa barca sasa hivi wanamponda neymar...usishangae kwa matic...Pole sana mkuu. Nimekutana na mwenzako mmoja anasema huyu sio mchezaji...
Lolote linaweza tokea.Ingawa mpaka sasa ni ngumu kuaminiNASIKIA MCHONGO NDIO UMESUKWA ILA NEYMER ANATUA MAN U!
VP WAKUU HAMJAPATA PATA HIZI ZA CHINI YA KAPETI
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo utimamu wao uendelee vivyo hivyo timu inaleta matumaini waqt ule enzi za SAF sio kwamba tulikuwa hatufungwi lakini unatoka umeridhika kuwa vijana wamepambana na game imekataa na sio hata mipango ya goli huioni itatokea wapi!nimetoka kuangalia marudio ya mechi, si mchezo kwa kweli vijana wako juu sana.
wamechoma jezi za neymar kama hawa ngada fc huku kwetuHata mashabiki wa barca sasa hivi wanamponda neymar...usishangae kwa matic...
Sent using Jamii Forums mobile app
ah lazma magoli watoe, na ushindi tupate.Ha ha haha.
Kuna ule wa..
![]()
![]()
bia zangu umekunywa.
Nyama zangu ..sijui umekula..
Nauli zangu umechukua...
Haya naulizaaa...
Utatoa hutoi....utatoa hutoiii....![]()
![]()
Kwa kweli natamani iwe kesho hata
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha,sister naona unarudi kwa kasi!ah lazma magoli watoe, na ushindi tupate.
Binafsi inanikera nikiskia Martial awe included kwenye deal ya Perisic. Perisic wa kawaida kabisa. Mzeee kweli umbadilishe na Martial mtoto?
Hii kitu ikitokea basi nitajua viongozi wa Man ukichanganya na Manager hawafikirii mbali.Martial ni mchezaji wa kiwango cha juu sana tena bado kijana mdogooo.


I bet for Pogba maana mechi nyingi za europa alkua vizuri sanaIbrahimović, Mkhitaryan and Pogba shortlisted for the 2016/17 [HASHTAG]#UEL[/HASHTAG] Player of the Season award!![]()
mie hapa nyumbani lazma nirudi, na ukiona sipo basi nimebanwa haswaa.
hakuna mwamba kwenye mapenzi. ila naona sasa ameshatulia .Juzi Mourinho kasema Martial haondoki OT. Kwa hiyo wakuu tuwe na amani. Jamaa yuko vizuri sana, sema mapenzi hayajawahi kumuacha mtu salama.
salama na karibu.![]()
Jamani salama humu ndani
Unafiki wako ni wa kiwango cha fly over mkuu.![]()
Ahsante sana