''Mkuu hebu tuwekee orodha ya very best players na definition yake?''
Chacha naona lugha gombana hapa, I mean hilo swali halikuwa linahitaji copy and paste. I can seriously stand by the words used.
Very best?!!? mazee that's a very relative phrase!! On the other hand in proper English there is no "very best"....just "best" is enough!! you could make sense by at least saying "very good"!!! khe khe khe khe!!!
Anyway nimeeleza definition ya great player i.e. awe ameshinda kombe la dunia na awe na consistency form kuanzia levo ya klabu hadi ya timu ya taifa. Then I pointed out the names of the players claimed to be the greatest ever!!
Unataka maelezo gani tena? Au ndio unaendeleza jadi ya mashabiki wa the gooners?!?!? khe khe khe khe!!!
Mkuu ulikimbia umande nini au ndio kiinglish cha ku-krem .... ..... ..... hebu tuandikie hiii sentesi kwa kiinglish chako hapa ....
Better than Maradona: Messi (right) fires home a brilliant
second to draw comparisons with the very best
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mnatuletea usiku hapa mkaongelee kwenye majukwaa yenu huko.
hivi nyie zinawatosha kweli? Mmeambiwa hii ni forum ya wanaoichukia man u? Mnaleta ushenzi hapa, mnatubandikia mapicha yes tulifungwa na barca so wat? Lini ujinga utaisha nchi hii? Tuacheni wadau wa man u tujadili mambo muhmu ya klabu, upumbavu wenu pelekeni huko kwenze forums zenu.
hivi nyie zinawatosha kweli? Mmeambiwa hii ni forum ya wanaoichukia man u? Mnaleta ushenzi hapa, mnatubandikia mapicha yes tulifungwa na barca so wat? Lini ujinga utaisha nchi hii? Tuacheni wadau wa man u tujadili mambo muhmu ya klabu, upumbavu wenu pelekeni huko kwenze forums zenu.
Uvumi unasema Ashley Young atasainiwa baada ya mechi ya Switzerland, Varane anakuja kwa mkopo... Wes Brown ndio kaambiwa atafute timu nyingine...(poor guy)
Nani anacheza vizuri akiwa upande wa kulia advantage nyingine ya Young ni kuwa ni mzuri kwenye dead balls situation.Ashley Young ni winga mzuri lakini naona Ferg atajipa kazi kubwa kwenye kuchagua timu. Kuna Valencia, Park, Nani and King RG so itakuwa kazi sana kwa babu kuchagua nani acheze na nani akalie bench.
Punguza jazba, ndio mambo ya sports huwezi kukwepa hali hii!!hivi nyie zinawatosha kweli? Mmeambiwa hii ni forum ya wanaoichukia man u? Mnaleta ushenzi hapa, mnatubandikia mapicha yes tulifungwa na barca so wat? Lini ujinga utaisha nchi hii? Tuacheni wadau wa man u tujadili mambo muhmu ya klabu, upumbavu wenu pelekeni huko kwenze forums zenu.
Friday's rumours
Arriving
Wesley Sneijder (£30m, Metro)
Karim Benzema (not stated)
Hulk (not stated)
Erick Torres (not stated)
Gianluca Caprari (not stated)
Javier Pastore (£50m, Calcioline)
Running Total: 18 players, £265m
Wacha ngebe wewe fan mwenzio alijifanya yeye kasomea grammar school mwache aje hapa atuwekee ki-inglish chake khe khe kheeeeeeeeeeeee
Wacha fujo wewe na kutisha members hapa ondoa ukaragosi wako kimburu mkubwa we! Bila ya mwalimu kukupeleka ngumbaru hata JF ungekuwa unaisikia tu kwenye bomba khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee