Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,655
- 8,584
Kama vile nimeona ameshaenda PSG.Possibly can be done... Hawa mawakala wanaamua kadri wanavyotaka.
The Great Gatsby
Matic na Valencia Leo wamenifanya nione first half ilikuwa dakk 5.Namwelewa sana valencia
Sent from myself
hujamalizia kusema
hii ni mechi ya kirafiki tu punnguza wengeWamechomoa 1-1
2:1Wamechomoa 1-1
afadhali wazidi kututia moyoSafi vijana pana mabadiliko big fella nae kachangamka
Yani mi kutoa updates hapa ndo wenge? Unadhani kila mtu anacheki game?Au wenge kivipi?hii ni mechi ya kirafiki tu punnguza wenge
Wewe hapa upo sahihi au Sio? Wewe hauna wenge, ukifanya wewe sawa, wakifanya wengine wenge.Kukaa kimya nayo ni busara mkuu.