Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haya wale wa livestream twendeni sawa hapa



Update
Link haifanyi kazi tena naona washachomewa

6b30d246769b5d38b4bade4378997ede.png
 
Martial hawezi kuuzwa. Condition iliowekwa na Inter Milan ni kwamba kama Manchester Utd inamtaka Perisic basi watoe €50mil + Martial kwa mkopo wa msimu mmoja au kama hawataki kumtoa Martial basi walipe full €55mil.
Najaribu kulinganisha kiwango cha martial kwa sasa na umri wake naona ni asset kubwa barazani kwetu OT..huyu perisic ndiyo ni mzuri ila umri umeenda kidogo kulinganisha na martial

Sent from myself
 
Back
Top Bottom