Mkuu man u tv kwenye kinga'amuzi cha azam sijui kwa nn haionyeshi hizi mechi. Ila ukisuncribe online unaonaok, ila vipi litaoneshwa ktk chanel zip hapa bongo na vp mutv ya kwenye king'amuzi cha azam wataonyesha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Issa joke.lukaku anamuonea wivu matic sababu pogba kakaa na matic badala ya kukaa na yeye km ilivyokua hapo mwanzo, hahahahaaaaa hakika pogba ni rafiki wa kila mtu pale manutd na anajua kuiunganisha timu ndan na nje ya uwanja![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakwambia umesikia wapi izo habari??Kuna tetesi Neymar anakuja United.
Ndo atavaa jezi namba 7.
Ha ha ha mnazi ni nini mkuu?Cute B uko vizuri mkuu wewe ni mshabiki mnazi
Martial hawezi kuuzwa. Condition iliowekwa na Inter Milan ni kwamba kama Manchester Utd inamtaka Perisic basi watoe €50mil + Martial kwa mkopo wa msimu mmoja au kama hawataki kumtoa Martial basi walipe full €55mil.
I see!!!
Kweli!!