Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Pole sana mdauWakuu nashindwa nieleze nini but nashukuruni sana tena sana for the love!
Mkuu ipatama much respect to you brother, nimeona upendo wako kaka!
Ni kweli jana mida ya saa 11 jioni nadhani ni siku ambayo sitokaa niisahau kirahisi maishani mwangu, my little angel, my only son J uhai wake ulikatishwa na pikipiki, it's so painfull guys, ni hali ambayo hadi dakika hii still siamini kama kweli.
Shukrani kwa fans wote wa Manchester na soka kiujumla, kuna walionitumia meseji na kuna walionipigia simu kunifariji mungu awabariki.
My boy was six years old akisoma darasa la kwanza leo ndio tumempeleka kwenye nyumba yake ya milele so painful.
He was too young to die.
Ni changamoto tu za maisha