Manchester United (Red Devils) | Special Thread

View attachment 554864
karibu chama la wana

What goes around always comes around
405bbf8ed6551f39867a83ce55660ece.jpg
 
Nimeandika sana huko nyuma juu ya huu usajili,ilikuwa ni lazima kwa Mou na Man U kumsajili Matic,ni jambo lililokuwa linasubiri muda tu kutimia na hatimaye limekuwa kweli leo.

Matic is Red am happy.

A realy and best defensive midfielder is in Carrington now.

Niandike kidogo,kuhusu Matic.

Kwa misimu takribani minne hadi sita iliyopita Man United tulikuwa na tatizo la mchezaji kiungo namba sita(holding midfilder),ilifika kipindi tulilazimika kumtumia Scholes kama namba sita wetu.

Na hata tulipomsajili Carric bado tatizo hili lilikuwa linatusumbua na Sir Fergie aliondoka bila kututatulia hili tatizo.

Tume jaribu kwa Herera,Blind kidogo na Pogba last season angalau kidogo lakini ilitulazimu kutumia Viungo wengi hivyo kuleta shida kwenye upangaji wa timu.

Kiuchezaji Matic namfananisha na Ton Krose wa Real Madrid au Khedira.

Kumbuka kuna kipindi Man United ilitaka kumsajili Ton Krose tukamkosa.

Matic ni world clasic player kwa sasa na moja ya wachezaji Wenye shughuli nzito uwanjani lakini wasionekana kutoka na majukumu waliyonayo.

Ukitaka kuiona shughuli yake mwisho wa mchezo angalia mchezaji aliyetembea km nyingi.

Ukitaka kuiona shughuli ya Matic iangalie Chelsea ya misimu miwili iliyopita,pale kati walikuwa salama kweli kweli na kuwafanya akina Hazard kuwa wamoto Zaidi.

Huyu ni mwanaume na mpiganaji aliyekamilika katika nafasi ya kiungo wa ukabaji anayeyajua vema majukumu yake,ana uwezo wa kuzuia na kupandisha mashambulizi.

Wachezaji wa namna hii wapo wachache kwa sasa Duniani, na timu nyingi zinasumbuliwa na aina hii ya wachezaji,Madrid wanajivunia kuwa na Ton,Barca pia.

Uzuri Zaidi anafiti katika mifumo ya Mou na Mou anajuwa shughuli ya Matic awapo uwanjani.

Matic ana mapafu na aina ya upiganaji wa Paul Ince,asiyechoka na ni mpiganaji haswaa.

Sasa Viungo wetu wa Ushambuliaji na washambuliaji watakuwa huru Zaidi.

Niliwahi kusema ili tuone uwezo wa Pogba lazima asajiliwe Matic ili Pogba apunguziwe majukumu na kuwa free,sasa tunaenda kuona shughuli ya Pogba,Rashford na Lukaku.

Nitafurahi Zaidi kama Mikh akiwa vizuri katika kiwango chake,ili pale mbele panoge Zaidi.

Timu kama Barcelona tumeshapata dawa yao,.

Naisubiri Supercup kwa hamu Zaidi, ila ubaya wake hatakuwepo Baily.

Madrid wajipange Zaidi Man United inapata muonekano mpya zaidi na kuzidi kuimarika.

Hofu yangu ni kwa Man City naiona ikisukwa kiufundi zaidi.

Welcome Fundi na King katika dimba la chini Matic.

Inshallah Mungu atupe uzima,msimu ujao sio wa kumiss match hata moja kwa Man U.

[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG].

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nashukuru kwa uchambuz wako mahiri.. nami nakubaliana nawe hapo kwa man city, naona mwarabu anataka kombe msimu huu

What goes around always comes around
 
Haa haaa haaa haa kwa nini?soma post yangu viziri kaka,siwezi muacha ila tunaongelea technics na kwa nini kwake itakuwa ngumu,moja tuna Viungo washambuliaji wengi kwa sasa,mana Pogba anasogea mbele kutoka dimba la chini,tayari tuna hawa,Mikh,Pogba,Matta,Lingard,Rashford,Martial.

Mbele namba 9 tayari ina uhakika,atasimama Lukaku kwa vyovyote itakavyokuwa atasaidiwa na Rashford (10).

Nyuma yao atasimama Pogba,hizi ni nafasi zenye uhakika pale mbele.

Watabaki, Fellain,Matta,Lingard,Mikh na Martial,kujaza nafasi (2),lazima wapigane sana kupata namba.

Tumeona kwenye hizi Match kiwango cha Martial kikiimarika,amerudi vizuri sana.

Big Fella kwenye game tunayohitaji kukaba sana ana uhakika wa nafasi.

Chini yao hapo kuna Herera na Matic ambao watatengeneza utatu mtakatifu pale kati (Matic,Herera, Pogba) afu nyuma yao kuna Baily na Rojo,aisee sioni wa kutuzuia hapa.

Nne na tano,kuna Baily na Rojo/Lendorf,

2 na 3,kuna Valencia na Darmian.

Hapa kama tunaongelea 4-3-3 ambao Mou ameonekana kuutumia sana or or 4- 3-2-1 or 4-5-1 na 4-4-2 (ambao naona Matta na Mikh wakifiti katika huu mfumo wa 4-4-2).

Hebu tuchambue kidogo.

Show,Blind,Caric,Jons tuanzabe n.k hao itabidi wafanye kazi ya ziada na kupigana haswaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo kwny competitions nyingi mkuu..tunahitaji kikosi kipana ila "player rotation" ifanyike vizuri na wachezaji wengine waweze kupumzishwa ili kuwa na stability ya kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nashindwa nieleze nini but nashukuruni sana tena sana for the love!

Mkuu ipatama much respect to you brother, nimeona upendo wako kaka!

Ni kweli jana mida ya saa 11 jioni nadhani ni siku ambayo sitokaa niisahau kirahisi maishani mwangu, my little angel, my only son J uhai wake ulikatishwa na pikipiki, it's so painfull guys, ni hali ambayo hadi dakika hii still siamini kama kweli.

Shukrani kwa fans wote wa Manchester na soka kiujumla, kuna walionitumia meseji na kuna walionipigia simu kunifariji mungu awabariki.

My boy was six years old akisoma darasa la kwanza leo ndio tumempeleka kwenye nyumba yake ya milele so painful.

He was too young to die.
 
Oh my God pole sana brother.
My condolences to you and your family
 
Pole sana kaka,
 
Pole bro

pole Sana kaka Mungu akupe uvumilivu katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana mkuu!
 
pole sana mkuu
 
Pole sana mkuu. Mwenyezi Mungu akupe nguvu ya kustahimili mapito haya.
 
Wakuu nashindwa nieleze nini but nashukuruni sana tena sana for the love!

Mkuu ipatama much respect to you brother, nimeona upendo wako kaka!

Ni kweli jana mida ya saa 11 jioni nadhani ni siku ambayo sitokaa niisahau kirahisi maishani mwangu, my little angel, my only son J uhai wake ulikatishwa na pikipiki, it's so painfull guys, ni hali ambayo hadi dakika hii still siamini kama kweli.

Shukrani kwa fans wote wa Manchester na soka kiujumla, kuna walionitumia meseji na kuna walionipigia simu kunifariji mungu awabariki.

My boy was six years old akisoma darasa la kwanza leo ndio tumempeleka kwenye nyumba yake ya milele so painful.

He was too young to die.
Natambua maumivu uliyonayo pole sana mkuu.

Mungu akutie nguvu.
 
Back
Top Bottom