Newfame
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 485
- 1,134
Fellain huyu wa huyu au Fellain wa Man U ya Mars?Breaking news# Man utd rejected pound million 78 from Barcelona for Fellain
Sent using Jamii Forums mobile app
Fellain huyu wa huyu au Fellain wa Man U ya Mars?Breaking news# Man utd rejected pound million 78 from Barcelona for Fellain
Kwanini ubovu wa lindelof?Katika Moja ya Match ambayo ukiwa kama shabiki wa Man U hutakiwi kuikosa ni Match hii ya leo Barca Vs Man United.
Hizi match zinatupatia nafasi ya kufahamu uwezo wa wachezaji wetu mmoja mmoja,mana zinachukuliwa kama sehemu ya maandalizi;hivyo wachezaji wanakuwa huru na wanatakiwa kuonyesha uwezo wao mana Makocha huwaangalia wakati wa kutafuta combination.
Tunaona uwezo wa Lingard,kiwango cha Rashford,ubovu wa Lendorf n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda akumbushie kunyoa vindevu vyake tu maana hapo akuwa navyo![]()
Hope the Magician Atakumbushia leo

Saa nane na nusu usiku
La brazil tu lilitutesa.Nishalala mchana leo, ili niwe na gap usiku waanane kuangalia game.
Ila siku kombe la dunia litaenda marekani tutateseka sana khaaa...afadhali hili lijalo linakuwa urusi ambao time zone yao na yetu inafanan.
Sasa hawa marekani et tunapishan masaa nane sijui uko.
Hahaha nzi kufia kwenye kidonda.....La brazil tu lilitutesa.
Kama hii mechi ipo muda ambao usingizi ndio upo kwenye kiwango cha degree.
We acha tu ila lazima niangalie maana nipo hapa nasubiri badoHahaha nzi kufia kwenye kidonda.....

Barça XI:Channel gani mkuu wanaonesha?