Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nakubaliana na wewe kabisa kuwa hatuna Natural Wing,na vilevile hata Lingard na Rashford kiuhalisia ni Viungo washambuliaji ila kuwatumia natural wing inategemea na mifumo ya Kocha na Timu.

Kama ni Mfatiliaji wa Mpira utakubaliana na mimi kuwa mpira wa sasa umebadilika mno,Makocha wengi mafundi hawapendi kutumia mawinga katika timu zao,ni Makocha wachache sana wanaindelea na utamaduni huo kama Zidane.

Nishawahi kuandika hapa kuwa Mou sio muumini wa Mawinger hasa hawa Natural kama Ashley,ni muumini wa Viungo wa ukabaji na Ushambuliaji mana ndio wanaofiti katika mifumo yake.

Hawa Mawinger wanaopiga Cross now hawana nafasi,tunataka Mawinger kama Rashford,Lingard ambao kiuhalisia ni Viungo wa Ushambuliaji.

Hizi Cross zitapigwa na Mafull back ambao now ndio hutumika kama Wings.

Fanya analysis zako katika msimu uliopita uone kama tunahitaji Wings au Mou kama anahitaji kweli Wings.

Kwa michezo ya hizi match za majaribio tumeona angalau uelekeo wa Timu.

Na kwa mpira uliopigwa katika match na Man City nadhani Mou atakuwa na majibu mengi juu ya Mapungufu na aina ya timu aliyokuwa anaitaka.

Pale Mbele,weka 8 - Pogba,9 - Lukaku,10- Rashford,11 - Lingard,7 - Mikhityran,6 - Herera uone kachumbari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Goli la Pili ushindi Manchester Utd Vs Ajax Mickhtaryan alifunga Goli hilo Kwa Mpira Wa Krosi...

Goli La tatu La ushindi La kikombe cha Carling Cup Vs Southampton ... Ibrahimovic Alifunga goli dakika ya 80s kutokana na Krosi Murua ...

Mkuu kubali kataa Manchester united inahitaji winger .... Tena winger haswa ... Mind you Mabeki zetu wote wa pembeni tukimtoa Valencia hawako vizuri kwenye kushambulia na kupiga Krosi zenye afya kwa washambuliaji.... Tunahitaji winger kwa namna yoyote ile... Najua hiki ndicho kinachomuumiza mourinho mpaka sasa hivi kwa sababu anajua hata Kama akitumia mabeki wa pembeni kupiga Krosi ni Valencia tu ndio atakaemsaidia... Darmian sio mzuri kwenye kushambulia, Luke shaw bila kumsahau blind...

Ndio maana sasa hivi pia kuna taarifa Beki wa PSG sergie anahitajika ... Huyu Beki kwenye timu ya taifa ya Ivory coast huwa muda mwingine Winger ya kulia au kushoto ... Sema Alipotua PSG kocha wa muda huo Laurent Blanc alimtumia sana kama Beki wa pembeni kulia .. Naamini mourinho anaweza kumtumia winger namba saba acheze na Valencia kama namba mbili wake.

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Injury update
 
Attachments

  • IMG-20170723-WA0004.jpg
    IMG-20170723-WA0004.jpg
    109 KB · Views: 41
The boss gave an update on his injured players, saying he expects Shaw back in September, Young in October and Rojo in December or January.
 
Gooorigoorigorigori
Gooooooooooooal
Lukaaaaaaaaaaaaku
36' Man Utd 1-0 Man Shit
Amkeni amkeni amkeni... kumekucha hapa uwanja wa taifa... kumekucha amkeni. Niliwaambia hapo kabla huyu Lukaku huyu ni hatari saaana atawaua vibaya sana. Kwako mwalimu kashasha....
Mwl. Kashasha: yani sipati picha akikutana na Arse88 huyu nadhani anaweza akacheza peke yake na akafunga hata 8 kama sio 8 inahitaji uwe na mapanga nyundo tindo misimeno nail cutter visu bikari na hata pisto kumzuia HUYU kwako Jese John.
Jese: Refaaaaaa malizaaaaaa tunataka kwenda kaziniiii....

p00r Arse88

GGMU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hah hah wewe kijana huwa unawakera arsenal wanatamani wakuroge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Goli la Pili ushindi Manchester Utd Vs Ajax Mickhtaryan alifunga Goli hilo Kwa Mpira Wa Krosi...

Goli La tatu La ushindi La kikombe cha Carling Cup Vs Southampton ... Ibrahimovic Alifunga goli dakika ya 80s kutokana na Krosi Murua ...

Mkuu kubali kataa Manchester united inahitaji winger .... Tena winger haswa ... Mind you Mabeki zetu wote wa pembeni tukimtoa Valencia hawako vizuri kwenye kushambulia na kupiga Krosi zenye afya kwa washambuliaji.... Tunahitaji winger kwa namna yoyote ile... Najua hiki ndicho kinachomuumiza mourinho mpaka sasa hivi kwa sababu anajua hata Kama akitumia mabeki wa pembeni kupiga Krosi ni Valencia tu ndio atakaemsaidia... Darmian sio mzuri kwenye kushambulia, Luke shaw bila kumsahau blind...

Ndio maana sasa hivi pia kuna taarifa Beki wa PSG sergie anahitajika ... Huyu Beki kwenye timu ya taifa ya Ivory coast huwa muda mwingine Winger ya kulia au kushoto ... Sema Alipotua PSG kocha wa muda huo Laurent Blanc alimtumia sana kama Beki wa pembeni kulia .. Naamini mourinho anaweza kumtumia winger namba saba acheze na Valencia kama namba mbili wake.

Sent From My Nokia Ya Tochi
Ivan Perisic ni sahihi sana kwa winga. Tatzo inter wanakaza sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mourinho: “Tomorrow is an experience for us as a team. I’m going to play Fosu-Mensah, Axel, Darmian and Mitchell.”
 
Back
Top Bottom