Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba sio hakuaminiwa,hakuwa tu mvumilivu aliambiwa na fergie yeye ana umri mdogo so atacheza tu,na hata hakupenda scholes alivyorudishwa kutoka kustaafu na yeye yupo. Swala la pogba ni tofauti na la Lukaku mkuu.
 
Kwa kuwa n kibwegebwege nakausha
 
Inavoonekana dili imegoma. Ila muda bado. Sema mimi namlilia sana Eric Dier. Japo leo nimeona kama Marco Verratti nae yuko kwenye radar ila huyo kumpata ni ngumu sana kuliko Dier.
 
Pale kati tunahitaji raia wa ukweli. Mbele Martial Rashford Miki Lukaku Mata Lingard can score alot of goals. Ila tunatakiwa kumpata mtu mwenye macho ya panzi uko kwenye msitu wa adui lakini anakuona na kukupenyezea pass. Mtu mwenye makengeza ambaye pass zake hakuna anayetabiri inaenda kwa nani. Kama Carrick tuu mapasi yake.
 
Carrick kilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…