Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Hahaha hatari!Mwakyembe kumbe ni sportspesa ambassador
Huyu dogo naona hakuwa na zali na Man UtdOfficial: Adnan Januzaj kasajiliwa Real Sociedad
Yeah!! Zali limempita kushoto kiaina aisee. Ila nasikia kuna 'buy back clause' kwenye mkataba wake. Kama ni kweli labda siku moja atarudi tena.Huyu dogo naona hakuwa na zali na Man Utd
Halafu kumbe bado ana muda mrefu tuu wa kucheza... ana miaka 22
Sent from my GT-I8190N using JamiiForums mobile app
Official: Adnan Januzaj kasajiliwa Real Sociedad