Usingizi au?Hii tofauti ya muda haitamuacha mtu salama kabisa
£50-£60millVipi Eric Dier thamani yake inacheza kwenye £ ngapi?
Nafasi ya Carrick no. 6atacheza ngapi
Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
Hatapata namba baada ya Lukaku kusajiliwa na yeye hataki kiraka au sub au impact striker anayeingia majeruhi kuvizia kama beki ulimi nje awafungeMou amrudishe chicharito tumalize kazi.
Ndio mkuuUsingizi au?
Kivipi mkuu!Mashabiki washaanza kumlaumu Lukaku kuwa..."his first touch is basically a pass"
![]()
Sent from my MAX 5 using JamiiForums mobile app
Kuna clip moja hivi alipewa pasi sasa ile first touch ikawa na mushkeli kidogo. Hivyo ni vitu vya kawaida sana vinatokea kila siku na kila mechi. Sasa bora hiyo, maana jana kuna mchezaji mpya (Hernandez) alikua anatambulishwa Santiago Bernabeu akapewa mpira aoneshe mbwembwe pale danadana zikagoma.Mashabiki washaanza kumlaumu Lukaku kuwa..."his first touch is basically a pass"
![]()
Sent from my MAX 5 using JamiiForums mobile app



Kivipi mkuu!
Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app