Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unajua watu wanashindwa kutofautisha ugumu wa timu zinazosadikika kuwa ndogo epl na zile za la liga! Epl ni ngumu inahitaji mtu mwenye uzoefu na ligi ili kuwa na msimu wa mafanikio zaidi (lukaku) sasa wanaposema eti hawana imani na lukaku ambaye amekuwa na msimu wa mafanikio zaidi akiwa na everton nakuwa napata kigugumizi kuwaelewa
lugege kacnia
 
vipi Kwan Bakayoko bado hutujawaliza tu na huko maana wanatakiwa wajue kuwa msimu uliopita walibahatisha tu.
Inaonekana pia Man U wapo nyuma ya Bakayoko na ikitokea wakapiku basi Chelsea anaweza kuzira Kusajili.

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
 
Screenshot_2017-07-11-20-03-44.png
 
Chelsea is a lucky club, had conte delayed for a day to report for preseason preps this Mourninho could have signed him to Man U as well.
 
Day 2
 

Attachments

  • IMG_4192.JPG
    IMG_4192.JPG
    119.9 KB · Views: 44
  • IMG_4193.JPG
    IMG_4193.JPG
    108.5 KB · Views: 41
  • IMG_4194.JPG
    IMG_4194.JPG
    123.3 KB · Views: 41
  • IMG_4195.JPG
    IMG_4195.JPG
    114 KB · Views: 56
  • IMG_4196.JPG
    IMG_4196.JPG
    34.6 KB · Views: 48
  • IMG_4197.JPG
    IMG_4197.JPG
    31.2 KB · Views: 46
  • IMG_4198.JPG
    IMG_4198.JPG
    51.7 KB · Views: 54
  • IMG_4199.JPG
    IMG_4199.JPG
    58.7 KB · Views: 53
Back
Top Bottom