Kweli mkuu naona watu wana moto wawapi cjui wanashindwa Ku reason vzur... Awaoni lukaku moto wake pamoja nakwamba alikuwa timu ndogo kama Everton lkn aliweza hadi kuwa second top scorer wa premier imagine akiwa chini ya kina pogba kina miki kina mata na kina hereraAisee hata mimi nashangaa sana mtu anaposema Morata anaweza kuamua matokeo. Yaani kama vile ndo sifa yake kubwa inayomtofautisha na Lukaku. Hilo si kweli hata kidogo.
Morata anazo qualities zake nzuri tu lakini sio kusema anaweza kubadilisha matokeo.
Bado tunahitaji mshambuliaji wa aina ya Aguero,mshambuliaji asiye mzito mzito! Lukaku ni mzito!
Angekuwa anao huo uwezo basi nafikiri Real Madrid asingekuwa anaanzia bench nyuma ya Benzema ambaye kwa upande wangu naona Lukaku ni bora kuliko Benzema.
Sikatai, ni mchezaji mzuri, ila inaweza kuwa gamble maana hatuna uhakika kama ataweza kushine EPL. Si unakumbuka wakati tunamchukua Martial toka France jinsi tulivyokuwa na mahope kuhusu yeye, nini kimetokea? Anastruggle mwenyewe.
Tumpe chance Lukaku tuone nini ataifanyia club.
Aimbe kwa umombo kipaji anachoKwa wale wanaopenda Rap..
Aliyekuwa winga wa zamani wa Man U Memphis Depay ametoa wimbo wa kurap..
Kiufupi jamaa anajaribu kuonyesha kuwa sio mpira ila ana kipaji zaidi...
Tayari una 508k viewers..
sent from my Tecno kimeo using jamiiforum mobile app