Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Acha zako kijana ni game ngapi ulizo muona morata akiamua matokeo???? Msiongee2 kisa anatoka Madrid ,,, uyo mnae muamini atakuja Fanya ujinga ad usiamini... Acha apambane na ligi nyepesi morata PL aiwez yule bado sana AF ujiulizi y anapigwa bench kila wakati?

Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
 

Angekuwa anao huo uwezo basi nafikiri Real Madrid asingekuwa anaanzia bench nyuma ya Benzema ambaye kwa upande wangu naona Lukaku ni bora kuliko Benzema.

Sikatai, ni mchezaji mzuri, ila inaweza kuwa gamble maana hatuna uhakika kama ataweza kushine EPL. Si unakumbuka wakati tunamchukua Martial toka France jinsi tulivyokuwa na mahope kuhusu yeye, nini kimetokea? Anastruggle mwenyewe.

Tumpe chance Lukaku tuone nini ataifanyia club.
 
Aisee hata mimi nashangaa sana mtu anaposema Morata anaweza kuamua matokeo. Yaani kama vile ndo sifa yake kubwa inayomtofautisha na Lukaku. Hilo si kweli hata kidogo.
Morata anazo qualities zake nzuri tu lakini sio kusema anaweza kubadilisha matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…