Manchester United (Red Devils) | Special Thread



Postage stamp accuracy: Villa curls in Barcelona's third goal








Ati hawa walienda kufukua kaburi wakitafuta zawadi khe khe khe

khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee BJ kumbe wewe hunipendi yaani unaombea niwe banned! Urafiki umekwisha mambo yote tunaanza alifu hakuna tena maua kutoka augusta khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee


Anyway ngoja nitengeneze breakfast kwanza I'll be back .... ..... ...
 
...jamani mwenzenu ndio naamka, vipi? matokeo? he he he!
 
Hongera kwa Barcelona wanastahili ubingwa,tatizo l tuliruhusu magoli kwa uzembe (goli la 2 na 3) midfielder hawakukaba, .Gerrard Pique kwa upande wangu alikuwa Man of the Match kwa kuweza kublock count attack zote za ManU.Valencia na Evra hwakuwa kwenye fomu kabisa leo
 
Naona mmeshikia tena mmeshikaka pabaya sana Barcelona = Buy 1 get 2 for free😛
 
... MBENDEMBENDE!
Uliona wapi jogoo la shamba likawika mjini?
 
Waungwana hii ni kama nightmare ya 2009, tofauti ni kuwa hii timu bado haijafikia kiwango cha timu ya 2008/2009 au 1999 na the fact that we made it to the final inanipa furaha pamoja na kuwa tumefungwa na timu bora duniani. Future ni nzuri tunatakiwa kujenga midfield na kuongezea striker maana nasikia Berbatov na Michael Owen wanaondoka.

Congratulations kwa Barcelona though. They were the best team na wana deserve kushinda hakuna ubishi kwenye ilo.

Nategemea washabiki wa Man City watafurahia kwa sababu tumefungwa na wao wameshinda F.A. Cup.

Liverpool watasherekea kwa sababu bado wako na makombe matano na sisi matatu, lakini the fact that hawako ata kwenye Europa League makes me laugh.

Arsenal na Chelsea wanafurahia sababu siijui.

Ilikuwa ni safari nzuri kwa Manchester United msimu huu na nimefurahia kujumuika nanyi kuanzia mwanzo mwa msimu mpaka leo. Nawashukuru sana! Tukutane tena msimu ujao.
 
Wayne Rooney
He was up for this one, no doubt. Worked hard, won headers and was United's biggest attacking threat. Started and finished the move to score a high-quality goal.
 
Wayne Rooney
He was up for this one, no doubt. Worked hard, won headers and was United’s biggest attacking threat. Started and finished the move to score a high-quality goal.

...Ok, ndio kusema mmeshinda moja bila au sio?
 


Huyu alitegemea mujiza, bahasha hazikufanya kazi leo
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee






Chasing shadows: United spent much of the first-half heavily
defending from Barcelona attacks

Pamoja na kupaki basi khe khe kheeeeeeeeeeeee
 

Mtabaki hivyo hivyo na mawazo ya bahasha watu wanancheza game bwana.
 






Catch me if you can: David Villa (right) made a bright start for Barcelona






Marked man: Manchester United's Ryan Giggs (left)
and Michael Carrick (right) close down Barcelona's Lionel Messi





hata Bolt alikuja kuona jinsi mnavyokong'otwa

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kweli Man Utd ni timu kubwa watu halali hadi ikifungwa ndo wanapata usingizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…