Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Subiri hizo droo zibadilike muone mengine maana umeandika kama unapiga ramli. Mambo mengi ni ya kufikirika.
Umejaza maneno mengi ya kufikirika huyo kocha kafukuzwa alikotoka subiri mtamfukuza muda si mrefu.
Aaaah aaaah aaaah umepanic bro,tuongee mpira bwana,Mou ametupa Europa Ligue tayari,Pogba amesharudisha pesa yetu Jezi yake na ongezeko la mikataba ya wadhamini vimeifanya man u kuwa ya kwanza kwa pesa Duniani
 
Wakuu ivi kwanini morata kaachwa???

Je mpaka sasa ni mchezaji gani pale man u ameonyeshwa mlango wa kutokea??
 
Mkuu kama nakumbuka vizuri, msimu ulioisha timu zote kuanzia Chelsea hadi Sunderland walilipwa Pound Million 98 kama TV rights.
Sasa hapa sijaelewa Sunderland ilikuwaje wakapata mgao sawa na Man Utd wakati wao wana Defoe tu (At least)
Mkuu wenzetu wana mgawanyo ambao wote wanapokea sawa halafu kuna kiasi kingine wanapewa tofauti tofauti.
 
According to the Daily Mail, Manchester United are interested in Borussia Dortmund's Julian Weigl. Jose Mourinho has been in pursuit of a holding midfielder as a replacement for the veteran Michael Carrick and the Old Trafford outfit has been linked with the likes of Nemanja Matic, Fabinho and Eric Dier this summer.
 
Manchester United used Alvaro Morata move as a smokescreen to seal Romelu Lukaku - report

MANCHESTER UNITED were happy for people to focus on their move for Alvaro Morata as they secretly worked on a deal for Romelu Lukaku.
 
Attachments

  • IMG-20170707-WA0021.jpg
    83.4 KB · Views: 33
Manchester United used Alvaro Morata move as a smokescreen to seal Romelu Lukaku - report

MANCHESTER UNITED were happy for people to focus on their move for Alvaro Morata as they secretly worked on a deal for Romelu Lukaku.

Nimeisoma sehemu hii kitu, kumbe kwa Morata ilikuwa ni bosheni tu, buy why all that??
 
Manchester United used Alvaro Morata move as a smokescreen to seal Romelu Lukaku - report

MANCHESTER UNITED were happy for people to focus on their move for Alvaro Morata as they secretly worked on a deal for Romelu Lukaku.
 
Wakuu ivi kwanini morata kaachwa???

Je mpaka sasa ni mchezaji gani pale man u ameonyeshwa mlango wa kutokea??
Waliondoka so far ni Zlatan Ibrahimovic,Josh Harrop baada ya mikataba yao kuisha

Hawa huenda wakauzwa

Wayne Rooney
Chris Smalling
Adnan Januzaj
Matteo Darmian
Guillermo Valera

Hawa huenda wakapelekwa kwa mkopo
Joel Perreira
Sam Johnstone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…