Matic tena ?
Kwangu mimi tunahitaji striker na winger zaidi ila viungo naona tunao wa kutosha tu labda hatujui kuwatumia
Magic umri umeenda ila atatusaidia
Duh me nshachoka na rumors kila siku adi inaboaaa paka nimeona Wacha niisubirie man utd watangaze fabinho will take medical peresic matic morata n naingolan