Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mbona taarifa zinazotumwa humu huwa ni kutoka chanzo kimoja tuu cha habari afu cha kushangaza karibia habari zote siyo za kweli kabisa.. I advice the man to use Sky Sports news
Kwa kweli inaboa sana.. Bora thread iwe imepooza kuliko kuwa active lakini imejaa rumors tu. Kwenye kipindi cha usajili sio lazima 'kushare' kila habari maana nyingine zinaonekana ni udaku tu.
 
Mi nadhani wewe ndiye ungeleta hizo habari ambazo sio rumors. Lazima tuwapongeze wanaoleta habari humu. Tusiwe negative all the time!!
Mbona taarifa zinazotumwa humu huwa ni kutoka chanzo kimoja tuu cha habari afu cha kushangaza karibia habari zote siyo za kweli kabisa.. I advice the man to use Sky Sports news
 
Mi nadhani wewe ndiye ungeleta hizo habari ambazo sio rumors. Lazima tuwapongeze wanaoleta habari humu. Tusiwe negative all the time!!
Kutoa maoni yangu doesn't mean kwamba nipo negative all the time. Na wala sijapinga mtu yeyote kuleta rumors. Anyway, since lengo langu halikuwa kubishana au kumkera mtu basi tuiache thread iendelee kama ilivyo siku zote.
 
Jaman hamna haja ya malumbano sote tunaunganishwa na sprit ya Manchester United..

m nafikiri tetes hazkwepek... acha tu ziendelee kuja..
cha msing mda mwingine tuwe walau tunachambua baadh ya wachezaji wanaosemwa kama wanahitajika kwel na kama kwel wanafit klabuni kwetu

mfano perisic na talsca naona wote moto je wanahtajika wote? je anahtajka mmoja?? je kat yao nan zaidi?
......shukran....
 
Pamoja sana tetesi ndiyo habari ya mujini
 
Ni reliable kwa habari zinazohusu mchezaji wa kitalia, au anaechezea timu ya serie A, zaidi ya hapo nae ni zero brain kama scousers tu.

Wala kama unamfatilia ndio anaongoza kutoa taarifa sahihi kwa ulaya msimu huu.
 
Sio kweli mkuu, di marzio huwa anaandika habari zinazohusu mchezaji wa taifa la italy au anaetakiwa na timu ya serie A au anaetoka kwenye timu ya serie A kwenda club nyingine.

Ukiona di marzio ame andika habari mbali na hizo basi lazima nae aandike chanzo chake. Fuatilia utaniambia.

Sky sport ndio ilikua reliable source pekee ya habari world wide lakini saizi nao ni wapiga hela tu.

BBC=England
Di marzio=italy
La parisien=ufaransa
Kicker=ujeruman japo imegawanyika sana, Bild kwa habari za bayern munich angalau wanaaminika, WAZ kwa habari za dortmund na shalke 04
Marca=madrid
Sport=catalonia
Loserpool echo= loserfool
Evening standard = kwa timu zinazotokea london
 
Screenshot_2017-06-25-07-57-51.png
 
Back
Top Bottom