1.Negotiation za Morata zilisimama baada ya Real Madrid kuwa na uchaguzi wa Raisi wa klabu (Perez ameshinda tena) na Morata kufunga ndoa last weekend na kwenda honeymoon so next week mazungumzo yataendelea huenda deal likakamilika na Madrid wanasubiri wapate hela wakiwauza Morata,James waweze kumnunua Mbappe ambaye amewaambia Monaco anataka kwenda Real Madrid
2.Inter wamegoma kushusha bei ya Perisic wanataka pauni mil 44,sheria ya FFP inawabana Inter ikifika June 30 wawe wamelipa pauni mil 30.Ili waweze ku-comply Inter wanapaswa kumuuza Perisic/Brozovic au wote ili wapate hiyo hela Woodward anasubiri mpaka deadline ikikaribia apeleke dau la pauni mil 30.Thamani ya Brozovic haiwezi kufika pauni mil 30