Kama Ronaldo atarudi Manutd sababu ni pamoja na:-
a) Ushawishi wa Sir. Alex Ferguson kwenye bodi ya wakurugenzi
b) Kitendo cha Ronaldo kumweleza Sir. Alex Ferguson mipango yake ni dhahiri anataka kurudi kundini
c) Pamoja na sakata la kodi, baadhi ya wapenzi wa Real Madrid walianza kumzomea Ronaldo na kujiona hapendwi kuwa kichocheo kikubwa kuihama Real Madrid
d) Real Madrid kuwa tayari Kumchukua Mpabbe ambaye sharti la kwenda Real Madrid ni kuhakikishiwa namba na aidha kama Ronaldo atahama basi Mpabbe atajiunga nao
e) Ili wamuuze Ronaldo, Real Madrid wakubali dau chini ya £130mill vinginevyo hauziki
f) Klabu za PSG na Manutd bado zinamwona Ronaldo ana soko la kuinua thamani za vilabu vyao
g) Image rights za Ronaldo kumilikiwa na Nikes huku Manutd wako na Adidas ni mfupa utahitaji majadiliano pevu kabla ya ufumbuzi kupatikana
h) Mourhnio kutomsajili striker hadi dakika hii pengine alikwisha kuongea naye juu ya hili. Pia Mourhnio hupendelea uzoefu kuliko ukinda na ndiyo maana akina Samuel Eto, Ibrahimovich n.k aliwasajili kwa sababu uzoefu kwake ni kila kitu na Ronaldo fits the bill