Naomba kuuliza hivi target yetu ni ipi hasa? Maana naona wachezaji wengi sana wanatajwa kila siku kwamba tunawataka. Ukiwahesabu unaweza kuunda kikosi kingine kipya. Je ni kweli tunawataka wote hao au tunapelekeshwa na gossips za media?
Nafahamu kwamba wote hatujajua Mourinho alimpa list gani bwana Woodward, lakini naamini kuna wadau ambao wapo vizuri wanaweza kunisaidia ni wachezaji gani hasa wanatakiwa Manchester United. Ikiwezekana na ambao wanatakiwa kuondoka excluding Zlatan

Ugumu ni soko la usajili. Unapoenda kuomba kumsajili mchezaji kwenye timu yoyote ile huendi Kinyongekinyonge bali unaenda kwa kujiamini ya kuwa hata ukimkosa unayo mibadala lukuki ili kupunguza dau.
Mourhnio kila nafasi anayotaka kusajili anampa Woodward majina matatu au manne ili awe na uwanja mpana wa kucheza na soko kwa bei, ubora n.k
Official:Manchester United is pleased to announce that it has reached agreement with Benfica for the transfer of Victor Lindelof, subject to a medical examination, international clearance and personal terms.
A further announcement will be made once the transfer is complete
kuwa mvumilivu tu muda si mrefu utafurahi, ed woodward mbona yupo vizuri kwenye soko la usajili au umesahau kama kwenye utawala wake amesajili wachezaji wengi tu kama van persie, di maria,bailly,mata,herrera,pogba.