Photoshop hiyo,
kuna video imewekwa kurasa za nyuma angalia utamuona dogoligi ya italy imeisha nipeni statistics za huyo perisic nami nikubali kweli anafaa pale theatre
Reference siku zote lazima iwe nzuri. Ndio maana Pogba alikuwa hawakauki midomoni.Msimu umeisha ila katika vitu nilivovipenda kwa msimu huu ni pale kila timu midfielder wao akifanya vizuri mechi mbili tatu basi wanamfananisha na pogba, alianza Xhaka, akaja kante, fernandinho, countinho, henderson, dembele, but the main man was standing.
Sikuwahi ona Xhaka anafananishwa na Henderson, kante au countinho, kitu pekee alichokua anawajibu ni ku-dab na medal shingoni.
"Hated, Adored , Never Ignored "
Midfielders wa timu pinzani wakiwa foleni wakisubiri kulinganishwa na pogba.
Ukimuangalia vizuri huyo mwenye mdomo mkubwa afanani na kante?
![]()



namuona na Wijnaldum mbele yake.Wauza sura tu hao.
Interest nae pia hatuna.Lewandowski lakini sioni mwelekeo wa kuja kwetu
Van Persie ndiyo tofautiYa mwaka '12/13 ndo nzuri
Teh! Teh! Teh! Huyo ni Van Persie kwenye ubora wakeHata sura tu zinaonyesha mkuu kuwa kikosi cha 2012-13 kilikuwa cha kweli.
Teh! Teh! Teh!Wauza sura tu hao.
Hilo muhimuInterest nae pia hatuna.
Kama msimu ujao atakuwa katika ubora wake,basi timu itakuwa vzr.