Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Baada ya United kufuzu Champions League possibility ya DDG kutaka kuondoka imepunguaNgoja tuone usajili utakuwaje. Ila inasemekana Mou anata wachezaji wa4 tu. Na pia nahisi kitendo cha kumjumuisha Morata ktk deal la De Gea ni kama kawaambia Madrid David is not for sale. Kamuwekea price tag ya milion 65,ila wakitegea na Morata watampata kwa milioni 21.
Wakati Madrid wao wanasema value ya Morata ni milion 60.
Mourinho hana tatizo , De Gea akitaka kuondoka atamuachia but ametoa condition ya kubadilishana wachezaji hataki fedha pale Madrid wachezaji ambao Mourinho anawakubali ni Varane na Kroos while wachezaji ambao Madrid wanaweza kuwauza mwisho wa msimu ni Bale,James na Morata.
Zidane bado anamkubali Navas na game za mwisho wa msimu amefanya vizuri ingawa Perez anataka DDG,saga la DDG kwenda Madrid huenda likachukua muda kama lile la Fabregas kwenda Barca

