Hongereni sana!
Mmepigana na mmeshinda!
Hongreni kwa wote mlio simama na team yenu ktk wkt mgumu ulio wakabili EPL!
Ingawaje mlishindwa kupenya kwa WANAUME kucheza CL kupitia EPL lkn haijalishi maana tunacho taka tuwepo CL bila kujali mmefika kwa njia ipi
CL will be very interesting!The tug of war will be between WANAUME wa Anfield(MAJOGOO) na vivulana viwili vya Manchester wakisindikizwa na vitoto viwili vya London
Hongereni sana RRONDO Nzi
safari ilikuwa ndefu na ya shida lakini tumemaliza kwa mafanikio msimu umeisha karibu nusu timu wanatembelea magongo utadhania ni hockey team ila Mungu amesaidia hala Man U.
Mkongwe Wamekunyang'anya sred yenu hawa WAHUNI wanao ibuka tu team ikifanya vyema?Pigania uchukue back thread yako maana ww na akina Rutashubuma mmekuwepo hapa kwa raha na karaha sio hawa wahuni
Ehehehe