marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,320
We jamaa maombi yako yamejibiwa kama ulivoomba! Mshukuru Mungu katoe sadaka kanisani au kama ni muislamu usiache kufunga na kusaidia wasiojiweza mwezi huu mtukufu ukianzaPlz Pogba thibitisha leo unaweza,, plz Mkhi thibitisha wewe ni fundi,, Mata as well,, mtu wa kazi Ander late us not down,,, big Fella plz kaza as usual,, All the Best Manchester United,,
Chenu chenye uwezo kimefikia wapi?Sisi tuna ndoo ya Europa,mashindano ya pili kwa Ukubwa barani Ulaya,sisi ni wababe Zaidi ya Chelsea kwa sasa.Kikosi chenu hakina uwezo Wa kucheza UEFA nyie ...mtaenda kutia aibu uko,bora mngebaki tu europa uko mtaitia aibu ligi yà uingereza.

Kikosi kibovu lakini kiliwafunga 2-0 nyie wenye kikosi boraKikosi chenu hakina uwezo Wa kucheza UEFA nyie ...mtaenda kutia aibu uko,bora mngebaki tu europa uko mtaitia aibu ligi yà uingereza.
Idadi ya majeruhi walio kwenye crutches ni wengi kuliko makombe waliyopata liverpool miaka ya karibuni.Ila hawa majeruhi bana[emoji16] [emoji16] [emoji16] yaan nilikuwa naona crutches tu uwanjani
Kama ni chungu sana unaweza ukatumia na chumvi kidogo.Kikosi chenu hakina uwezo Wa kucheza UEFA nyie ...mtaenda kutia aibu uko,bora mngebaki tu europa uko mtaitia aibu ligi yà uingereza.