Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Sio kwa kikosi hiki mkuuIwe ni Champions ligi ni kumbakumba
Man utd inabidi turudi katika zama zetu ...Leo hii mata na mikhi wanacheza winga lakin sio mawinga halisi ...man u zama zao ulikuwa na mawinga teleza .daah sio mbya kikosi cha Leo Naona mourinho anataka kushambulia zaidi .....Confirmed [HASHTAG]#mufc[/HASHTAG] XI: Romero, Valencia, Smalling, Blind, Darmian, Herrera, Fellaini, Pogba, Mata, Mkhitaryan, Rashford
Kafungiwa alipewa kadi nyekundu, mchezo wa pili wa nusufainaliBailly VP ??? Majeruhi au ??? Anaejua
Red card ilimponzaBailly VP ??? Majeruhi au ??? Anaejua
Kwakufungwa kiulainiAjax watawashangaza