Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Iwe ni EPL kibindoni
Source?Ninashukuru kwa taarifa ila hatacheza kwa sababu moyo wake tayari uko Real Madrid
Nani kakutuma Wenger au Omog[emoji41]Eti mwaka kesho kumbakumba mnachukua ndoo zote,endeleeni kujifaliji.leo hamtoki kwa Ajax.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nani kakutuma Wenger au Omog[emoji41]
Acha hizo maneno za kupaki bus kabisa Sergio asije rudi nyavuni kuokota mpira Mara 3madogo hawan attacking ya kumtisha mou so kma kawa.. goli 1 tuna paki bus!!