Carrick hana mbavu za kukaba ni mzuri kusambaza mipira. Manutd inachohitaji ni central midfielders wenye kukaba, kutoa vyumba vya magoli, na kufunga.
Michael Carrick umri ni ishu kubwa hawezi kucheza mechi mara mbili kwa wiki inabidi apumzike na akiumia huchukua muda mrefu kupona